Nauza samsung galaxy note 8plus 64gb tsh 290,000/= tu

Mimi nauza Samsung galaxy grand max. Orijino kutoka Korea. Unapata na charger na earphone kwa bei ya tsh 300,000 tu
 

Attachments

  • 20181113_203534.jpg
    157.5 KB · Views: 35
  • 20181113_203521.jpg
    157.4 KB · Views: 35
Kwa kifupi mzee baba umepigwa hiyo kitu, hilo ni copiiiii kabisaaa. Ushauri wangu, tafuta mwalimu muuzie mana wao wapo wapo tu, hata hawaelewi dunia inaendaje

halafu ni ile copy ya dola 45 tu....
 
Kwa kifupi mzee baba umepigwa hiyo kitu, hilo ni copiiiii kabisaaa. Ushauri wangu, tafuta mwalimu muuzie mana wao wapo wapo tu, hata hawaelewi dunia inaendaje
Watake radhi walimu wewe
 
Ndugu yangu umepigwa hiyo sio original,,yaani nimeiangalai tu nimegundua

MM ni mpenzi sana wa Note series ila hiyo yako haipo,ila kwa bei ulio inataja ni sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…