Phone4Sale Nauza samsung j4 2018

mzeemkavu

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
315
Reaction score
335
Simu haina kipengele hata kimoja
Ram 3GB
Storge 32GB
Inch 5.5
Kamera kari
Network 4G
Bei 230000
Camerq Mp13 kalii,
Android 9 ,
0716872076
No exchange
 
Inaweza kuwa ni simu nzuri sana,lakini kwa J4 ambayo tena ni ya 2018 ningekushauri ushuke chini ya kilo 2 na kama utakuwa umeitunza vizuri mtu anaweza kuipenda...
 
Ndio mkuu siunajua bongo biashara zetu ni kushushane so nimeweka hiyo bei ili mtu akishukaa kidogo tumalizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…