INAUZWA Nauza Sendo za kiume na kike

Wahitaji wa Sendo wanakuja Mkuu, WASUBIRI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ni imara na vinadumu
Bei 15,000

0624151738
Unapatikana wapi?
Je ni sandle za ngozi au plastic (nimekuta sandle zinauzawa 110K)
Je unazo hizo tu au nyingine zipo?
Kama zipi display tuzione preferably zenya kamba nyuma
 
Unapatikana wapi?
Je ni sandle za ngozi au plastic (nimekuta sandle zinauzawa 110K)
Je unazo hizo tu au nyingine zipo?
Kama zipi display tuzione preferably zenya kamba nyuma
Ni sendo za ngozi,

Zipo na zingine ntaendelea kupost hapa
 
Tusubiri mpaka lini maana ulitakiwa na mzigo kamili ndipo utangaze biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…