INAUZWA Nauza Sewing Machine, Overlock Machine, Button Lock Machine na Button Machine

Ossy167

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
18
Reaction score
9
  • Nauza sewing machine millioni moja
  • Overlock machine millioni moja
  • Button lock machine millioni nne
  • Button machine millioni tatu
  • Napatikana Dar
  • Free delivery kokote
  • Bei inapungua
  • Namba zangu ni 0687132429

Karibu sana















 
Jemeni hiki si ndo kiwanda kabisa ambacho serikali ya jpm ilikuwa inakisemea
 
Umeacha production au ndo biashara yako kuuza hizi machine hili swali ni la msingi sana
 
Mcheki Fiderine Iranga alikuwa anazitafuta
 
Umeacha production au ndo biashara yako kuuza hizi machine hili swali ni la msingi sana

Tulikuwa tumenunua kwa ajili ya production but muanzishaji ameshindwa ku initiate plan yake Ndo maana imebidi tuziuze
 
un

unauza bei gani

Sewing machine millioni moja (1,000,000)
Overlock machine millioni moja (1,000,000)
Button lock machine millioni nne (4,000,000)
Button machine millioni tatu (3,000,000)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…