Na hekari moja Una uzaje?
Eneo gani hilo Mkuu, Oldonyosambu?
Hilo eneo mali sana. Ngoja nipige jaramba kwa wenye uweza
Shida ni kwamba ukishaanza kuuza ardhi utaiuza mpaka iishe kabisa huna ubavu wa kuzuia dhamira,hiyo roho ya kuuza haiondoki mpaka umalize kuiuza ardhi yote,hiyo ndiyo kanuni mkuu