na mimi sijamwelewa mkuu.You mean heka 1 ni 20m?
na mimi sijamwelewa mkuu.
Sawa sawa Ekari moja yaani miguu 70 kwa 70 ni milioni 20
hizo hisabati zako sio sahihisawa ekari 1 na sio heka ni milioni 20 au ofa ya karibu (heka 1 = 2.5 ekari) na ekari 1 ni takriban 4900 mita za mraba/eneo
hizo hisabati zako sio sahihi
i acre is approximately 4047 sq m. Au mita za mraba 4047 ni sawa na ekari moja.
Ila hiyooooo bei ndio utata.
Mnalalamika ekari moja ml20? Subirini baada ya miaka mi5 eneo hilo hilo mita 30 kwa 30 itakua bei gani.
Shamba lipo eneo zuri linalokua kwa haraka takriban kilometa 1.7 toka Mandela University. Shamba lipo mkabala na Chuo cha Mandela, Hort Tengeru, Usa river, barabara ya Old moshi, Mererani na Barabara ya East afrika inayotarajia kujengwa, mara unapoanza pacha ya barabara ya Mereranil baada ya mita 500 unapokuta nguzo za kwanza za miti za umeme kulia ndipo shamba lilipo. Ni mahali unapoweza kuwekeza Shopping complex, Petrol stations. Hotel au makazi n.k. Baadhi ya maendeleo mkabala na shamba hilo ni pamoja na shule mpya ya English media , Kituo cha walemavu na Kituo cha wakorea ambapo wamenunua kiwanja tayari kwa ujenzi. Eneo limekaa vizuri kwa namna nyingi, ni rahisi kufika KIA, Moshi, kuna Reli, karibu na soko laTengeru; Ngurudoto, USA river, Moshi etc, Maji ya kuchimba ni mengi ndani ya mita 15 tu lakini ya bomba yapo japo mbali kidoogo tokea shamba lilipo ila umeme upo kama mita 200 tu, Kuna miti kadhaa ya asili na vichaka. Shamba lipo kilomita 17 toka mjini Arusha na unaweza kupitia tengeru au kijenge ili kufika shambani. Bei ni 20Millions ekari o.n.o. Mawasiliano; 0786262635
View attachment 178661View attachment 178659View attachment 178660