Nauza shamba heka moja wilaya kisarawe

Nauza shamba heka moja wilaya kisarawe

meenah90

Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
33
Reaction score
16
Habari zenu , nauza shamba heka moja , shilingi milioni mbili na nusu 2.5 million haipungui hata mia , shamba lipo mkoa wa pwani wilaya kisarawe , kijiji cha mloo kata ya kibuta ,mbele ya homboza.

Nb mimi ndio mwenye mali hakuna dalali.

MAWASILIANO 0718 343299
 
Habari zenu , nauza shamba heka moja , shilingi milioni mbili na nusu 2.5 million haipungui hata mia , shamba lipo mkoa wa pwani wilaya kisarawe , kijiji cha mloo kata ya kibuta ,mbele ya homboza NB MIMI NDIO MWENYE MALI HAKUNA DALALI
MAWASILIANO 0718 343299
Hakunaga utaratibu huo kama wa super market kwenye utafutaji wa soko la kuuza kitu.

Lazima ukubali kushushwa hata kidogo kama una dhamira ya kuuza kweli.

Vinginevyo utakuwa kama wauza simu 'zisizouzwa' pale Kariakoo.
 
Habari zenu , nauza shamba heka moja , shilingi milioni mbili na nusu 2.5 million haipungui hata mia , shamba lipo mkoa wa pwani wilaya kisarawe , kijiji cha mloo kata ya kibuta ,mbele ya homboza NB MIMI NDIO MWENYE MALI HAKUNA DALALI
MAWASILIANO 0718 343299
Wapi picha biashara hii ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom