Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 70 liko Kiwangwa kijiji cha Lugogo kila ekari ni Tshs 600,000/= maelewano yapo. Umbali wa Km 4 toka barabara ya lami Msatta - Dar, gari inafika hadi shambani Ni eneo zurikwa kilimo cha mananasi, mbaazi, n.k. Wasiliana nami 0682 110110

Inategemea na eneo lenyewe hiyo bei unayosema nimenunua miaka mitatu iliyopita unaweza pata hata elfu hamsini kwa ekari yapo njia ya kwenda saadan national parkMkuu Kiwangwa laki 6? hiyo bei ni mara 2 ya niliyonunulia mwezi uliopita!
Kama ndo hivyo basi kweli thamani ya ardhi inapanda kwa kasi ya kutisha!