Plot4Sale Nauza shamba - Kwala

Plot4Sale Nauza shamba - Kwala

chazi piere

Senior Member
Joined
Jun 12, 2016
Posts
132
Reaction score
72
Shamba liko kijiji cha Kwala (Serikali inapojenga bandari ya nchi kavu na reli ya standard gauge(SGR) bei ni laki 8 kwa Kila Heka 1, zipo Heka 12 kijiji kimepimwa hivyo ukihitaji hati ya kimila unapata.

Contact: 0622563598 (Mimi ndio mwenye Shamba Hakuna Dalali)
 
Shamba liko kijiji cha kwala(Serikali inapojenga bandari ya nchi kavu na reli ya standard gauge(SGR) bei ni laki 8 kwa Kila Heka 1,zipo Heka 12 kijiji kimepimwa hivyo ukihitaji hati ya kimila unapata.

Contact:0622563598 (mm ndo mwenye Shamba Hakuna Dalali)
Mbona tangazo halijakamilika mkuu hiko kijiji kipo mkoa gani?huduma zingine kama umeme na maji vipo au laah?kutoka road hadi apo km ngapi?je ardhi yake ipoje na zao gani linaweza kustawi?mengine jiongeze mwenyewe
 
Hakika hili tangazo halijakamilika bila majibu ya maswali yako
 
Mbona tangazo halijakamilika mkuu hiko kijiji kipo mkoa gani?huduma zingine kama umeme na maji vipo au laah?kutoka road hadi apo km ngapi?je ardhi yake ipoje na zao gani linaweza kustawi?mengine jiongeze mwenyewe
Mbona ametoweka? Au ni remote sana, so inamlazimu kupanda kwenye kichuguu ili kupata mawasiliano? 8k is LESS than cheap(au ndiyo "vyuma...?)!
 
Back
Top Bottom