chazi piere
Senior Member
- Jun 12, 2016
- 132
- 72
Mbona tangazo halijakamilika mkuu hiko kijiji kipo mkoa gani?huduma zingine kama umeme na maji vipo au laah?kutoka road hadi apo km ngapi?je ardhi yake ipoje na zao gani linaweza kustawi?mengine jiongeze mwenyeweShamba liko kijiji cha kwala(Serikali inapojenga bandari ya nchi kavu na reli ya standard gauge(SGR) bei ni laki 8 kwa Kila Heka 1,zipo Heka 12 kijiji kimepimwa hivyo ukihitaji hati ya kimila unapata.
Contact:0622563598 (mm ndo mwenye Shamba Hakuna Dalali)
Hakika hili tangazo halijakamilika bila majibu ya maswali yakoMbona tangazo halijakamilika mkuu hiko kijiji kipo mkoa gani?huduma zingine kama umeme na maji vipo au laah?kutoka road hadi apo km ngapi?je ardhi yake ipoje na zao gani linaweza kustawi?mengine jiongeze mwenyewe
Mbona ametoweka? Au ni remote sana, so inamlazimu kupanda kwenye kichuguu ili kupata mawasiliano? 8k is LESS than cheap(au ndiyo "vyuma...?)!Mbona tangazo halijakamilika mkuu hiko kijiji kipo mkoa gani?huduma zingine kama umeme na maji vipo au laah?kutoka road hadi apo km ngapi?je ardhi yake ipoje na zao gani linaweza kustawi?mengine jiongeze mwenyewe
Ni umbali wa 18km ..kule bado hakuna magari yanayoenda huko ila barabara ikikamilika lazima route zianze kwenda hukoKutoka vigwaza had kwala
Nauli shling ngap