Lawkeys JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 1,118 Reaction score 287 May 17, 2019 #1 Shamba la miti aina ya Pines, yenye umri wa mwaka mmoja, lipo Mapanda, Mafinga linauzwa. Bei 36.5m - mazungumzo yapo. Mawasiliano - 0714019605
Shamba la miti aina ya Pines, yenye umri wa mwaka mmoja, lipo Mapanda, Mafinga linauzwa. Bei 36.5m - mazungumzo yapo. Mawasiliano - 0714019605
E Edzone JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 1,957 Reaction score 1,785 May 17, 2019 #2 mkuu hauuzi kwa acre
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,134 Reaction score 998 May 17, 2019 #3 Mapanda haiko mafinga tafadhali sema mapanda iliyoko mufindi na utaje ni umbali wa Km ngapi kutoka mafinga township, kwa umri wa miti hiyo ilivyo ni VEMA ukauza kwa ekari, na pia kuweka kivuli picha ilivyo
Mapanda haiko mafinga tafadhali sema mapanda iliyoko mufindi na utaje ni umbali wa Km ngapi kutoka mafinga township, kwa umri wa miti hiyo ilivyo ni VEMA ukauza kwa ekari, na pia kuweka kivuli picha ilivyo
REDEEMER. JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 8,925 Reaction score 14,890 May 17, 2019 #4 Weka picture tuone shamba.