Nauza shamba langu mkuranga kwa mwenye kuhitaji..

lauzi96

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
422
Reaction score
805
Ndugu zangu nnaeneo langu mkuranga lenye ukubwa tofauti kuna la ekari 2,4,6 ekari hzo zipo mkuranga hila maeneo tofauti mashamba yote yana documents za kijiji nauza ekari 1@1.5ml Hali yangu kiuchumi sio nzuri namba yangu 0683103524
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…