Plot4Sale Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

Dith

Member
Joined
Sep 30, 2020
Posts
57
Reaction score
15
Shamba hili lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda).

Lina heka 4 zinapelea kidogo.

Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.

Shamba lina kisima ndani yake kisicho na tanki na mota, shamba safi halina vichaka.
Kilometer 3.5 kutoka barabara ya lami.

Kutoka mbagala mpaka kikungo ni shilingi 1400 kwa usafiri wa daladala, kutoka hapo kikungo stand mpaka shambani kwa bodaboda ni shilingi elfu moja.

Bei ni shilingi 17M (Milioni 17).

Kwa mawasiliano namba ni 0769917961 au 0712030252

Angalia picha za shamba hapa.

IMG_20201002_130829_709.jpg
 
Kutoka mbagala mpaka kikungo ni shilingi 1400 kwa usafiri wa daladala, kutoka hapo kikungo stand mpaka shambani kwa bodaboda ni shilingi elfu moja, kwa miguu ni kama dakika 20 au nusu saa itategemea na mtembeaji.

Bei ni shilingi 25M. Kwa mawasiliano namba ni 0769917961 au 0783563835

Angalia picha za shamba hapa.

Bei iko juu sana mkuu

Sent from my HWCD100E using JamiiForums mobile app
 
Weka bei inayolingana na wakati wa sasa mkuu.
Hali ngumu,fikiria hiyo milioni 25 mtu atairudisha mwaka gani akiuza hayo machungwa na nazi?
 
Bei gani mkuu inalingana na wakati wa sasa?
 
Mzee niko interested, ila bei ipo juu.
Nakupa 15M kwa Awamu.
Nicheck
 
Shamba ni zuri na linatunzwa vizuri, wasiliana nami kwa namba 0769917961
 
Shamba hili lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda).

Lina heka 4 zinapelea kidogo.

Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.

Shamba lina kisima ndani yake kisicho na tanki na mota, shamba safi halina vichaka.
Kilometer 3.5 kutoka barabara ya lami.

Kutoka mbagala mpaka kikungo ni shilingi 1400 kwa usafiri wa daladala, kutoka hapo kikungo stand mpaka shambani kwa bodaboda ni shilingi elfu moja.

Bei ni shilingi 17M (Milioni 17).

Kwa mawasiliano namba ni 0769917961 au 0712030252

Angalia picha za shamba hapa.

Aham

Angalia picha za shamba hapa
Limepungua bei. Sasa ni 13M
 
Duh pole sana..wateja wamekuwa adimu sana...ikifika june niuzie 7m
 
Back
Top Bottom