Se-ronga
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 650
- 909
Mahali😀akawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma
Ukubwa wa shamba ni heka 20
Shamba lipo pembezoni mwa mto Wami ambao unatiririsha maji mwaka mzima,hivyo linakupa option ya kulima mwaka mzima
Umbali wa shamba kutoka mtoni ni around mita 350
Shamba limepimwa na lina hati ya kimila
Mazao yanoyoweza kulimwa ni MPUNGA (msimu wa mvua na kiangazi),kwa msimu wa kiangazi ni mazao yote ya horticulture
Kama upo serious kununua kwa ajili kufanya uwekezaji kwenye kilimo,na hasa kisichotegemea mvua,njoo PM tuyajenge