Picha yenyewe moja tena inaonesha kiatu tu sio shambaVip bei huwezi taja hapa?
Hivi huwa mnafanya makusudi, au ni bahati mbaya? JF ina members wageni wengi kuliko sisi wenye ID's.Mahaliπakawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma
Ukubwa wa shamba ni heka 20
Shamba lipo pembezoni mwa mto Wami ambao unatiririsha maji mwaka mzima,hivyo linakupa option ya kulima mwaka mzima
Umbali wa shamba kutoka mtoni ni around mita 350
Shamba limepimwa na lina hati ya kimila
Mazao yanoyoweza kulimwa ni MPUNGA (msimu wa mvua na kiangazi),kwa msimu wa kiangazi ni mazao yote ya horticulture
Kama upo serious kununua kwa ajili kufanya uwekezaji kwenye kilimo,na hasa kisichotegemea mvua,njoo PM tuyajenge
View attachment 1955411
Picha hizo mkuu,nili-apload ila nafikiri kulikuwa na shida kigogo View attachment 1955797View attachment 1955798View attachment 1955799View attachment 1955800View attachment 1955801View attachment 1955802View attachment 1955803View attachment 1955804Picha yenyewe moja tena inaonesha kiatu tu sio shamba
Bei 1,500,000 kwa kila hekaView attachment 1955806View attachment 1955807View attachment 1955808View attachment 1955809View attachment 1955811View attachment 1955810View attachment 1955812View attachment 1955813Hivi huwa mnafanya makusudi, au ni bahati mbaya? JF ina members wageni wengi kuliko sisi wenye ID's.
Hivyo kutaka watu wakufuate pm, ni kuwanyima fursa wale wadau wengine wengi wanaopitia humu kukusanya madini.
Weka bei ya shamba, picha za kutosha ili kuvutia wateja wako na mwisho kabisa weka na mawasiliano yako. Haya masuala ya pm achaneni nayo.
Hivyo viatu bei gani mkuu?Mahaliπakawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma
Ukubwa wa shamba ni heka 20
Shamba lipo pembezoni mwa mto Wami ambao unatiririsha maji mwaka mzima,hivyo linakupa option ya kulima mwaka mzima
Umbali wa shamba kutoka mtoni ni around mita 350
Shamba limepimwa na lina hati ya kimila
Mazao yanoyoweza kulimwa ni MPUNGA (msimu wa mvua na kiangazi),kwa msimu wa kiangazi ni mazao yote ya horticulture
Kama upo serious kununua kwa ajili kufanya uwekezaji kwenye kilimo,na hasa kisichotegemea mvua,njoo PM tuyajenge
View attachment 1955411
nchek-call pia watsapp 0718436694Mahaliπakawa,km 7 kutoka barabara kuu ya Morogoro Dodoma