Nauza Shamba

Nauza Shamba

Nauza shamba eka moja, Kibamba CCM 150m

Mkuu naona ume post tangazo ukiwa na haraka kweli au umedhania wote tuna uelewa mkali kama wako labda, mi sijaelewa shamba liko 150 meters toka Kibamba ccm au unauza 150 milioni au, maelezo yanasaidiaga saa zingine mkuu
 
Ni Sh 150M na ni eka moja Eneo lipo Kibamba kiburugwa barabara ya kwenda Bagamoyo na lipo barabarani sio kiwanja ni shamba.
 
milioni 150!!!!!! 1 h? kweli hapo lazi mafisadi tu!
 
Tzs 150 milion? Mh toka uzaliwe umewahi kuzimiliki nini maana unavyotamka kirahisi ......
 
Ni Sh 150M na ni eka moja Eneo lipo Kibamba kiburugwa barabara ya kwenda Bagamoyo na lipo barabarani sio kiwanja ni shamba.

Yaani kuwa barabarani nndo kunafanya iwe 150m. after all kununua barabarani nilishakoma maana magufuri karudi ujenzi yeye ni kuvunja tu hakuna mjadara

 
Back
Top Bottom