Kachukue hata ekari 1, atakupunguzia akufanyie milioni 9 😂Shamba zuri sana hili, ila hyo bei juu sana mkuu
Nahama, nahamia dom, miche 800Mkuu, nilipoona hiyo milioni 45 nimeshtuka hadi nikahisi kizunguzungu...Any way, wenye mpunga mkuje pande hizi mkawekeze mpate mara dufu
Hiyo mipapai unaweza pata mpka 40mShamba zuri sana hili, ila hyo bei juu sana mkuu
Nauza lote kwa ujumlaKachukue hata ekari 1, atakupunguzia akufanyie milioni 9 [emoji23]