Nauza shera Tsh. 250,000

Nauza shera Tsh. 250,000

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
9
Reaction score
8
Husika na kichwa Cha habari hapo juu nauza shera.

Shera ni mpya nzuri ninaiuza bei iyo kwa sababu ya dharula iliyojitokeza ambayo inaitaitaji fedha kwa ambae atakuwa serious ni pm ili nikutumie picha na video.

Napatikana Dar Mbezi
 
Shera ndiyo nini?
 
Mmmmh! Shela ya rangi nyeusi itavaliwa wapi Mkuu? 😁
 
Back
Top Bottom