Nauza simu aina ya iPhone 6S, Nzuri sana, bei nzuri

Simu ni nzuri sana toka nnje ya nchi,

simu sio korosho, hakuna ambayo inatoka ndani ya nchi

punguza bei, iphone 6 tena sio hata plus ina gb 16 used kwa laki 7.5 hata jeshi hawatanunua
 
simu sio korosho, hakuna ambayo inatoka ndani ya nchi

punguza bei, iphone 6 tena sio hata plus ina gb 16 used kwa laki 7.5 hata jeshi hawatanunua
Hin shida toa offa yako mkuu!
 
Ukinunua iphone 16 gb
Ni full majanga atleast kuanzia 32 gb inakua imetulia.nadhani ndo maaana muuzaji kaishindwa
Majanga yapi mkuu fafanua kidogo tupate elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…