Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina tatizo la aina yoyote.
Kwa mteja alie serious karibu tufanye biashara.Napatikana Mbezi Stand ya Magufuli namba yangu ya simu ni 0719742225.