Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
Habari wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
π Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu.
π Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth.
π Specification zake ni RAM 4 GB, Internal storage ni 64 GB, main camera ni 50 mega pixel, uwezo wa kukaa na charge ni uhakika mAh 5000, Android version yake ni 13.
π Kila kitu nilichonunua nacho kipo ukitaka hadi box lake nakupa
π Picha niliyo ambatanisha nayo nime down load tu kwa sababu nimekosa simu ya kuipiga picha hii, lakini mwonekano wake ndiyo huo haina tofauti hata kidogo.
π Location : Napatikana nje kidogo ya jiji la Dar maeneo ya Kibamba, but kama ukiitaka na uko mkoani naweza kukutumia kwa uaminifu kabisa ila kwa gharama zako mwenyewe.
π Bei ya simu ni chee kabisa,ni laki mbili na nusu (250,000/=) pesa za kitanzania.
π Sababu ya kuiuza ni kwamba nataka ninunue version nyingine ya sumsung hizi zimenichosha π ila siyo kwamba simu ina shida yeyote ya kiutendaji
π Kwa mawasiliano zaidi nipie au ni sms what'sapp numba hiyo hapo 0766 084 171