Mkuu pesa yako kubwa ila kwa simu kama hii hapa itakuwa ngumu kidogo jiongezee basi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ina muda gani unaitumia na je una risti na unaweza kufuta akaunti yako na kuweka ya mmiliki mpya. Closure chukua 400k
Sent using Jamii Forums mobile app