SOLD: Nauza simu mpya ya tecno f2

SOLD: Nauza simu mpya ya tecno f2

Status
Not open for further replies.

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Habari zenu wana jamvi kama kicha kinavyo jieleza nauza simu mpya haina hata miezi mi 3.
Hii ni kutokana na maamuz binafsi na mmiliki ni mimi mwenyewe sio ya mtu na nilinunua dukani.
kwenye piicha ndo inaonekana hivyo, kwakuwa nimepiga na simu nyingine,.
haijawai kufunguliwa hata kidogo;
zaidi ni mi kwaruzo ya screen protector tu, ambayo unaweza kuweka kioo kingine

Aina ya simu: tecno

Model: f2
Tatizo: haina (ni mpya)
Bei: 130,000 (maongezi yako kwa mtu alioko seriaz)
Eneo nililoko: kitunda- machimbo

Namba yangu ya simu: +255744486589 (piga )

photo_2018-11-30_15-59-41.jpgphoto_2018-11-30_15-59-40 (2).jpgphoto_2018-11-30_15-59-40.jpgphoto_2018-11-30_15-59-38.jpgphoto_2018-11-30_15-59-37.jpgphoto_2018-11-30_16-46-00.jpg
 
Mbona hiyo bei haina tofauti na ukinunua mpya,au wewe upo Mishamo Katavi?
 
Mbona hiyo bei haina tofauti na ukinunua mpya,au wewe upo Mishamo Katavi?
ndugu kiswahili ni chepesi nimesema simu ni mpya na kwakuwa nimeitumia mwezi na nusu nimeshusha bei. na kama kweli unaitaka maongezi yako. simple
 
we dogo hizi simu zinatolewa na Kampuni ya Tigo kwa sh 99,000/ mpaka Tecno Y3+
airtel kwa muda wa maonezi wa 66,000/
pili Tecno tunaziogopa bora kamzawadie nduguyo
simu ya Mchina unatuma sms yenyewe inamtukana uliyemtumia
"Hongera" inaandika nguruwe
kazi kweli kweli
acha wennye we waingie dukani
 
Mimecheka sana Hongera to nguruwe
 
we dogo hizi simu zinatolewa na Kampuni ya Tigo kwa sh 99,000/ mpaka Tecno Y3+
airtel kwa muda wa maonezi wa 66,000/
pili Tecno tunaziogopa bora kamzawadie nduguyo
simu ya Mchina unatuma sms yenyewe inamtukana uliyemtumia
"Hongera" inaandika nguruwe
kazi kweli kweli
acha wennye we waingie dukani
dogo mama ako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom