Gentlewoman
Senior Member
- Aug 13, 2018
- 192
- 393
Betri la ndani ya simu 3000MAhBetherii yake ikoje?
Nilitaka kujua uwezo wake kwa upande wa betri.Betri la ndani ya simu 3000MAh
Ngoja nikutumie picha
Simu haijatumika ni mpya,uwezo wa betri uko vizuri coz ni halijatumika.Nilitaka kujua uwezo wake kwa upande wa betri.
Simu haijatumika ni mpya,uwezo wa betri uko vizuri coz ni halijatumika.View attachment 974629
simu Yang niliisahau mahali, so nikajua imeshaibwa, nkaamua kununua hii, ndo jana nikarudishiwa yangu.. Hivo nimeona niiuze hii!!!siku 3? umeshtukia nini mbona mapema sana mummy!?