Nauza simu ya Xiaomi Mi Max, kwa laki 4

mwamuzi wa kesi shahidi

Senior Member
Joined
May 31, 2018
Posts
176
Reaction score
179
Simu ya Xiaomi mi max, inauzwa, ina 128 gb, ram 4gb, betri 4850 mAh, camera 16 kwa 5, internet 4g, display inch 6.44, karibuni niko dar, 0714495367, na 0768859089, na 0692940091
 
Simu ya Xiaomi mi max, inauzwa, ina 128 gb, ram 4gb, betri 4850 mAh, camera 16 kwa 5, internet 4g, display inch 6.44, karibuni niko dar, 0714495367, na 0768859089, na 0692940091
Daa mbona unauza bei rahisi ivi?sina hela tu ila ningeichukua
 
Ni kweli mkuu, mi niliagiza china kwa laki 7, nimetumia miezi 4, now ninasimu nyingine oppo r9 plusma, sasa kumiliki simu 2 siwezi na nina shida na pesa, we kweli unajua simu mkuu
Daa mbona unauza bei rahisi ivi?sina hela tu ila ningeichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…