Phone4Sale Nauza simu yangu, Infinix Hot 7

Phone4Sale Nauza simu yangu, Infinix Hot 7

Hongkong

Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
54
Reaction score
152
Kwaza nitangulize shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mungu na pia kwa mtu alienisaidia humu JF nikapata kazi.

Sasa nataka kuuza simu yangu infinix hot 7 180000 ili niweze kupata nauli ya kazini lakini pia ninunue nguo baadhi nauza na airphose 35000 sehemu ya kazi natumia magari mawili.

Nishaomba mkopo kwa ndugu zangu kama unavyojua wameweka vipingamizi kuwa kazi yenywe inaweza isikulipe bora ungesubiri lakini msimamo wangu ni ule ule.

Maongezi yapo.
 
Back
Top Bottom