Nauza SmartTv aina ya TCL inch 32

Nauza SmartTv aina ya TCL inch 32

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
36
Reaction score
46
Habari zenu Wakuu,

Nauza Tv ya TCL inch 32 SmartTv kwa 320,000 tu!

Tv ni nzima na haijawahi kwenda kwa fundi.





Napatikana Dar es Salaam.
Mawasiliano 0626753305
 
Duh! Si bora nikanunue mpya tu... nchi 32 siku hizi haizidi 26 kariakoo wallahi au unataka na faida kidogo?
Kabla ya kuongea kitu hakikisha unakifahanu unachokiongea.

Kuna SmartTv ya TCL inayouzwa 260,000?

Au wewe ni wakuja hapa Town AKA Mshamba? Acha ujuaji kwenye vitu usivyovijua kijana.

UTACHEKWA! 😂
 
Kabla ya kuongea kitu hakikisha unakifahanu unachokiongea.

Kuna SmartTv ya TCL inayouzwa 260,000?

Au wewe ni wakuja hapa Town AKA Mshamba? Acha ujuaji kwenye vitu usivyovijua kijana.

UTACHEKWA! 😂
Anaetaka smart tv inch 32 tcl 250,000 aende duka moja linaitwa Mashariki kariakoo pale Aggrey na likoma. Kama hawez kufika nitampeleka mm mwemyew.
 
Back
Top Bottom