Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 36
- 46
Duh! Si bora nikanunue mpya tu... nchi 32 siku hizi haizidi 26 kariakoo wallahi au unataka na faida kidogo?Habari zenu Wakuu,
Nauza Tv ya TCL inch 32 SmartTv kwa 320,000 tu!
Tv ni nzima na haijatumika hata mwezi.
View attachment 3153708
View attachment 3153707
Napatikana Dar es Salaam.
Mawasiliano 0626753305
Kabla ya kuongea kitu hakikisha unakifahanu unachokiongea.Duh! Si bora nikanunue mpya tu... nchi 32 siku hizi haizidi 26 kariakoo wallahi au unataka na faida kidogo?
280k mwisho.Shida sio sio TCL shida ni used shuka kidg boss hyo habari ya haijatumika hata mwezi sio ngeni kwa nyinyi ma freelancer 250 ipo mfuko wa shati nimtumie bimkubwa kijijini
Shuka tena kidooogo280k mwisho.
Nipigie
Hapan Mkuu, hapo ndio mwisho.Shuka tena kidooogo
Toa 80 nikupe 200Hapan Mkuu, hapo ndio mwisho.
Anaetaka smart tv inch 32 tcl 250,000 aende duka moja linaitwa Mashariki kariakoo pale Aggrey na likoma. Kama hawez kufika nitampeleka mm mwemyew.Kabla ya kuongea kitu hakikisha unakifahanu unachokiongea.
Kuna SmartTv ya TCL inayouzwa 260,000?
Au wewe ni wakuja hapa Town AKA Mshamba? Acha ujuaji kwenye vitu usivyovijua kijana.
UTACHEKWA! 😂
Waambie nna 220 isiwe feki tuAnaetaka smart tv inch 32 tcl 250,000 aende duka moja linaitwa Mashariki kariakoo pale Aggrey na likoma. Kama hawez kufika nitampeleka mm mwemyew.
Wewe utapata kwa 200 komaa na jamaa hapo juuWaambie nna 220 isiwe feki tu
Waambie hapo likoma ipo 220 mfuko wa shatiWewe utapata kwa 200 komaa na jamaa hapo juu
Jisogeze mpaka 235Waambie hapo likoma ipo 220 mfuko wa shati
TCL inch 50 Smart 4k wanauzajeJisogeze mpaka 235
Itakuwa kwenye 430 au 450 sina hakika sana mana sijawah kufikiria kwa hiv karibuni kumiliki tv kubwa kias hiko so, hata kufatilia bei sijafanyTCL inch 50 Smart 4k wanauzaje
Ni mpya au used?Itakuwa kwenye 430 au 450 sina hakika sana mana sijawah kufikiria kwa hiv karibuni kumiliki tv kubwa kias hiko so, hata kufatilia bei sijafany
Mpya, ngoja nitapita kucheki kama zitakuwepo nitakupa jibuNi mpya au used?
PoaMpya, ngoja nitapita kucheki kama zitakuwepo nitakupa jibu