Mnyenz JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 2,933 Reaction score 8,112 Aug 12, 2024 #1 ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 12, 2024 #2 Mchongo siku hizi ni free vocha. Shukrani ziende kwa waasisi wa jf Leejay49 na Bantu Lady
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 8,900 Reaction score 28,398 Aug 12, 2024 #3 Half american said: Mchongo siku hizi ni free vocha. Shukrani ziende kwa waasisi wa jf Leejay49 na Bantu Lady Click to expand... Mkuu Half american natumaini u mzima. Tuko pamoja kaka.
Half american said: Mchongo siku hizi ni free vocha. Shukrani ziende kwa waasisi wa jf Leejay49 na Bantu Lady Click to expand... Mkuu Half american natumaini u mzima. Tuko pamoja kaka.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 12, 2024 #4 Bantu Lady said: Mkuu Half american natumaini u mzima. Tuko pamoja kaka. Click to expand... Namshukuru Mungu nipo vyema kabisa, imani yangu u mzima pia. Pamoja sana dada uwe na siku njema.
Bantu Lady said: Mkuu Half american natumaini u mzima. Tuko pamoja kaka. Click to expand... Namshukuru Mungu nipo vyema kabisa, imani yangu u mzima pia. Pamoja sana dada uwe na siku njema.