Haka nakauza

Ukinipa M 2 nakuachia na wewe ukasumbue wake za watu mtaani.

Ni kazima jamani, na kana tembea.

Wanunulie nyumbani wawe wanakatumia kubebea maji na majani ya ng'ombe mkuu.
Au kama una hela unakatengeneza(una ka pimp)kanakua kwa ajili ya misele mjini. Sio kila siku kwenye mitoko yako unatoka na ist tu(mpaka watu wamekukariri)

Huwa vinapendeza sana.
 
Haya jamaa.

Vitz hiyo apo kama unataka spea za vitz WhatsApp 0712 148001
 
Haya wazee wenzangu wa BIGHORN mzigo huu hapo, SPARES
 
Gearbox Ya 1 - AZ(4 - wheels)
Inafunga kwenye Rav4 Kilitime

WhatsApp 0712 148001.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…