Damson88
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 259
- 24
UPDATED: Kama unahitaji Spea zozote za kumpyuta kama display za laptop size zote (10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine nyingi za laptop, Nitafute kwa Whatsap au kawaida 0756949732 popote ulipo utafikishiwa kwa maelewano. Bei ni pungufu sana. Karibu sana! Kifaa kama hamna tunaagiza. Vigezo na Masharti kuzingatiwa!