Car4Sale nauza subaru legacy kwa bei ya kutupa

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,530
Reaction score
9,550
habarini wakuu
nauza gari aina ya subaru legacy ambayo ina miezi mitano toka itumike Tanzania ikitokea Japan kwa gharama ya 10.5m tu,sababu za kuiuza ni kwamba nina gari nyingne ambayo nmeagiza pia.Gari ni mpyaa wala haina haja ya kurekebisha chochote ni kuwasha na kuondoka with full documents ina 1900cc kwa atakayeitaka anaweza kunitafuta kwa namba 0659756647


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
10.5m ndo bei ya kutupa? Pia, unaposema ni gari mpya kabisa unamaanisha ni 0 km?
 
10.5m ndo bei ya kutupa? Pia, unaposema ni gari mpya kabisa unamaanisha ni 0 km?

ndugu ninapozungumzia mpya nina maana haikutumika muda mrefu tanzania


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…