Ene magari
Member
- Jul 28, 2021
- 21
- 24
hahahahahahaHuo mkwaruzo hapo una fila?
Ila imechoka sana milioni 16? Na kubondeka huko!
Ila Jamii Forums is never boring π
Yaani ukisoma Comments tu hata kama ulikuwa unadaiwa Kodi utajikuta hauna stress kabisa π€
π inabidi tu stress zipishe njiaIla Jamii Forums is never boring π
Yaani ukisoma Comments tu hata kama ulikuwa unadaiwa Kodi utajikuta hauna stress kabisa π€
Chombo imenyooka kakaGari nzur naiona
Kwa kweli aisee, utasema wanaambizana namna ya ku-comment π π ππ inabidi tu stress zipishe njia
Kazingua kutoambatanisha pichaKwa kweli aisee, utasema wanaambizana namna ya ku-comment π π π