Una bei gani
Amesema 'Drop your offer' mtu kasema 20K kaambiwa aende kuchukua.Bei kubwa sana ndio maana watu wanachungulia na kuondoka
Kuna utofauti mkubwa sana btw. Mtoto wa kiume majungu majungu hayafai. Hao panya wenyewe mtwara wanakulaSungura=panyawaliochangamka
View attachment 1775629
"Drop your offer".... yaani bei jipangie mwenyewe.Bei kubwa sana ndio maana watu wanachungulia na kuondoka
Sio majungu. Anayejua sungura hawezi kukatishwa tamaa na comments humu atatunua tu. Wengine tupo hapa kufanya uzi au mada yako ichangamkeKuna utofauti mkubwa sana btw. Mtoto wa kiume majungu majungu hayafai. Hao panya wenyewe mtwara wanakula