Nauza Sungura

Ugeweka bei hapa igekuwa bora sana maana unaweza kuta wapo wengi wanaohitaji hao wanyama
 
npe email or phone n0 2wasiliane.
Sasa wewe kiongozi unanipa mashaka na biashara yako na unaonekana haupo serious. Wewe unafanya biashara hutoi namba yako lakini unataka namba ya mteja? Huoni hapo kama kuna tatizo? AU NDIO MAMBO YA KITOMARI?
Kwa picha ya harakaharaka naona kama unataka kuleta mambo ya usiri. Nikushauri kitu kimoja next time ukileta biashara hapa weka maelezo yote ya awali ikiwemo namba ya simu na sio email address.
 

Nilidhani ni mie tu , kumbe tuko wengi tulioshtukia hii biashara, maana jamaa hataki hata kuweka bei anataka mambo yote yawe siri

Anyway nakutakia mafanikio katika biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…