Car4Sale Nauza Suzuki Escudo GF-TD02W - Manual

Car4Sale Nauza Suzuki Escudo GF-TD02W - Manual

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wana JF,

Kwenye viambatanisho, ni Suzuki Escudo 3 Doors inauzwa
Hii ni gari yangu mwenyewe, mini sio dalali, mmiliki mmoja (mimi mwenyewe) imported from Japan Sept 2012.

Nimenunua kwenye odometer ikiwa na 110,000km, now ni 210,000km (imetembea 100,000km ndani ya miaka 7 plus)

Gari ni manual, itawafaa sana wale wa mikoani, 4Wheel drive. Escudo ni gari imara sana. Haijawah kuwa na tatizo lolote la engine zadi ya kubadilisha tu brakes, na vipuli vingine vidogo vidogo
Haina tatizo lolote kiufundi.

Hili gari silitumii, zaidi ya kuliwasha na kutoka nje na kulirudisha.
Linahitaji rangi (kama uonavyo kwenye picha, rangi imebabuka, plus some minor cosmetics fixing)
Halijawah kupata ajali

Details kama ifuatavyo:
Make: Suzuki
Model ESCUDO (GF-TD02W)
Year of manufacture: 1999
Registration: T *** CDA
Engine Size: 1590cc
Transmission: MANUAL (Sio auto)
Doors: 3
4Wheel Drive
Fuel: Petrol

Asking price: 9.5mil

Kwa taarifa zadi, Whatsapp/Call 0713 809050.

tcda1.jpg
tcda2.jpg
tcda3.jpg
WhatsApp Image 2020-02-15 at 17.57.44 (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-02-15 at 17.57.44 (3).jpeg
WhatsApp Image 2020-02-15 at 17.57.44.jpeg
 
Utauza mkuu,uwe mvumilivu na wakatishaji tamaa,pia bei isizidi 5m kama wadau walivyoshauri hapo juu
 
Hiyo sio gari yakuuza 9.5 millions.
Kwanza ni Manual (wengi sasa wanakimbilia Auto)
Pili ya muda kidogo miaka 21 sasa tangu itengenezwe (1999)
Tatu imetumika second second hand. (Yaani wewe mwenyewe ulinunia iliyotumika japo uliagiza)
Nne demand ya wa Tz wengi ni kwenye Toyota.Ambapo kwa mil9 angeweza kuagiza direct akapato aina ya Toyota nzuri tu toka Japan
Tano hali ya uchumi imekuwa ngumu sana,Kutoa milioni 9.5 kwa hicho kigari ni Anasa.
Hapo walau waanzie watu 5 million wahitaji wanaweza kukununuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bei umeweka cha juu kikubwa yaani hiyo bora nitafute RAUM AU TOYOTA ALLEX KAUZE WA VYUMA CHAKAVU

sent from toyota Allex
 
Hiyo sio gari yakuuza 9.5 millions.
Kwanza ni Manual (wengi sasa wanakimbilia Auto)
Pili ya muda kidogo miaka 21 sasa tangu itengenezwe (1999)
Tatu imetumika second second hand. (Yaani wewe mwenyewe ulinunia iliyotumika japo uliagiza)
Nne demand ya wa Tz wengi ni kwenye Toyota.Ambapo kwa mil9 angeweza kuagiza direct akapato aina ya Toyota nzuri tu toka Japan
Tano hali ya uchumi imekuwa ngumu sana,Kutoa milioni 9.5 kwa hicho kigari ni Anasa.
Hapo walau waanzie watu 5 million wahitaji wanaweza kukununuza.

Sent using Jamii Forums mobile app

M5 still nyingi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo gari kwa milioni 2/3 unaweza pata mteja...Ila kwa bei uliyoitaja mmh......
 
Utauza mkuu,uwe mvumilivu na wakatishaji tamaa,pia bei isizidi 5m kama wadau walivyoshauri hapo juu

Mkuu, hii so gari kwa ajili ya kila mtu, ni kwa ajili ya watu wanayoifahamu.
Nimepokea offer kubwa kuliko hiyo 5m so far, but bado sijaridhika.

Comments nyingi ni za watu wasiojua wanaodhani wanajua.
Nitauza, tena kwa bei nzuri kwa mtu anaejua anataka nini
 
Imekatika bampa la chini, rangi tayari imepauka, viti ndani vimechanika, milango mitatu,
kwa hayo nliyokueleza hapo hii gari
HUWEZI KUUZA ZAIDI YA MIL 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom