Nauza suzuki swift 1.3 mpya kutoka Japan for 9 million

Fika nane gari Ni mpya bado. Nikikuuzia kwa tano itakuwa sijaitendea haki ya thamani yake. Nipm au nicheki kupitia nambari 0718146734 tuongee biashara

Unamaanisha nini unaposema mpya? Odometer inasoma zero au?
 
Unamaanisha nini unaposema mpya? Odometer inasoma zero au?


Si maanishi hivyo. Odometer inasoma 67000 km. Ijatumika nchini ndo kwanza imefika wiki Jana. Ni gari nzuri na bora ununue hii kuliko kununua ambayo ishatumika na mtu Ndani ya Tanzania kutokana na matumizi ya watu hapa nchini kwenye magari kutokua mazuri sana. Kumbuka kwamba gari kama hii Suzuki swift ijawa imported Tanzania lazma ifanyiwe inspection na kampuni husika Japan. Nicheki kupitia namba 0718146734 nikutumie na picha zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…