Kuna Taa Tatu zile za kuweka Magetini Nzuri kabisaa....Unachomeka glop...mwanzo mwisho mwangaa...
Kunaa taaa Pia za VX za Mbele Mbili zinauzwaaa....
Bei Maelewano tu pia nakuletea Hadi ulipo...cheki me now....
Hizi taaa ni halali kabisaaa....Hata Usiwe na hofu...
Bei ya mwisho 80000 moja ya Gari...
Za gettin ni 120000 moja mwisho 100000 haipungui zaid ya Hapo....