ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Tairi ni kama ifuatavyo:
2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18
2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18
Rim size ni inchi 18.
Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme.
Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya kuzifunga tairi kwenye gari na kuendesha kidogo computer ya gari ilizikataa kwani zimezidi vipimo vinavyotakiwa, na ndiyo nikaamua kuziondoa.
Bei: 480,000 kwa kila tairi.
Tairi zinapatikana Dar es Salaam.
Wasiliana kwa 0625536529