Sisi watu wa OHS tunashauri hivi.....
Usije ukaamini tyre yeyote iliyokuja na gari hata kama bado kimuonekano zipo vizuri.
Sababu ni kwamba, tyre inapokuja na gari wewe mtumiaji hauwezi jua ilikaa na gari kwa muda gani. Na ubaya wa hizi tyre ni pale inapokua imetulia juani kwa muda mrefu wakati gari ikiwa haitembei.
Anyway, bilashaka mlisha wahi kuiskia mtu ananunua gari kutoka nje, then inaletwa bongo na kisha anakabidhiwa mwenye gari tayari kwa safari. Akiwa njiani tyre inapasuka gari likiwa kwenye mwendo na lolote hutokea.