Nauza Tank la Maji used

Nauza Tank la Maji used

Anastasia21

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,118
Jamani nauza tank used ltr 2000 la aina ya kiboko, bei ni Tsh. 350,000/-
Ukiitaji nicheki 0693972647, nipo Dar es Salaam.

20230727_110504.jpg
 
Hiyo ni bei ya jipya.
Huenda lake ameweka maujanja ya kufanya ukiweka maji yanageuka asali; au ilikuwa ni toleo customized kwa ajili yake pekee.

Ngoja aje atwambie iweje Kitu used kiuzwe Bei ya Kipya.... (kama kweli hio ndio bei)
 
Pale Airport Dar upande wa kulia kuna jengo linaitwa KAMAKA ni warehouse kubwa na duka pia, hapo hardware items unazipata hapo tena kwa bei rafiki, especially sanitaries na hayo masim tank, hiyo ni bei ya brand new tank.
 
Attachments

  • Screenshot_20230716-230126_2.jpg
    Screenshot_20230716-230126_2.jpg
    18.4 KB · Views: 35
Anastasia21 ; Unasemaje kuhusu hii habari mpya ? (Huenda ulikuwa hujui kama bei imeshuka) kwahio nadhani ni bora kurudi back to the drawing board
 
Bei za tamaa tu. Jipya mtaani kwetu Dukani kwa mpemba ni 280000.
 
Back
Top Bottom