Jededaya New Member Joined Dec 18, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Dec 19, 2019 #1 Imetumika miezi miwili tu nauza kwa bei ya TSH 270,000 ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote napatikana Mabibo Mwisho Dar es Saalam wasiliana nami kupitia 0767324191 au 0679318693.
Imetumika miezi miwili tu nauza kwa bei ya TSH 270,000 ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote napatikana Mabibo Mwisho Dar es Saalam wasiliana nami kupitia 0767324191 au 0679318693.
Izzy wizy Member Joined Oct 31, 2017 Posts 85 Reaction score 14 Dec 19, 2019 #2 Exchange vipi mkuu na Samsung Galaxy S7 Sent using Jamii Forums mobile app
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Dec 23, 2019 #3 Chukua 150 chap, nakufata ulipo