Nauza ticket nliyipia ya fast-jet 04 Jul na kurudi 07 July Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.

kizi57

Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
30
Reaction score
6
Wadau

Mim ni mjasiriamali nna ticket tajwa 2 za watu wazima 1 mtoto mchanga, pia nililipia mizigo ya kwenda safari ya kwenda na kurudi Kilimanjaro Airport

Safari nime cancel, nachohitaji ni refund. Bei nlio nunulia ni 232,000/- pamoja na kodi.

Kuna uwezekano wa kununua ticket mojawapo Kwa nusu bei!

 
Haiwezekani kwa sababu hazibadilishwi jina, imekula kwako hiyo!
 
Haiwezekani kwa sababu hazibadilishwi jina, imekula kwako hiyo!

Unaweza kumuelekeza bila kutumia neno " Imekula kwako",hizi ni dalili za ushambenga,umbea na ushakunaku!!!
Back to Topic:Tiketi mkuu hazibadilishwi,fastjet hawakubali....ukitazama Terms and Conditions ktk hiyo tiketi utagundua hilo
 
Mimi naweza nikamuuzia mtu mwingine kwaio la muhimu ni muhitaji, mjini hapa! Kila kitu kinawezekana! Anayejitaji anitafute nimuuzie ticket ya tarehe hizo!
 
Mimi naweza nikamuuzia mtu mwingine kwaio la muhimu ni muhitaji, mjini hapa! Kila kitu kinawezekana! Anayejitaji anitafute nimuuzie ticket ya tarehe hizo!

"Sure" Mangi hakuna kisichowezekana lakini inaweza ikaku-cost zaidi. Sasa watakuwa wana - search mtu mwenye scenario kama yako katka dbase yao na watakuwa wanoko kweli siku hiyo wakiwa na detail zako, siku nyingine we tangaza kuuza bali danganya mwezi ili uweze ku- maneuver kidogo sasa ume mwanga kuku kwenye mtama. Kuna jamaa yao humu ni mnoko kweli utafikiri siyo mbongo mwenzetu!
 
Ni kweli kabisa Kamanda, lakini hela ipotee hivi hivi so afadhali irudi walau nusu gharama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…