Nauza tiles kwa bei nafuu

Nauza tiles kwa bei nafuu

genius mvivu

Senior Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
156
Reaction score
275
Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya Dar es Salaam

20200613_095752.jpg
 
View attachment 1477041
ni mbaya sijaipenda afu bei kubwa sana, bora niende kwa lukundu anauza tyliz nzuri za itary kwa sh mia 350 (mia tatu na hamsini kwa kila moja). bye
 
Boss tunao connection ya huyo lukundu🤣
 
ni mbaya sijaipenda afu bei kubwa sana, bora niende kwa lukundu anauza tyliz nzuri za itary kwa sh mia 350 (mia tatu na hamsini kwa kila moja). bye
Boss naomba connection kma hutojali.
 
Wewe mtanzania ambaye bado unaendelea na ujenzi jipatie frool tiles kwa bei nafuu ukubwa wa tyles ni 50×50 bei ni 3000 kwa kila moja :mawasiliano ni 0788274721 na utaletewa popite ulipo ndani ya Dar es Salaam

View attachment 1477041
Unazo za aina nyingi?
Namaanisha rangi tofauti tofauti,
Na je ne rafu au za kutereza?
Nahitaji jibu la haraka.
 
Back
Top Bottom