nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested nicheki pm nipe offer yako ukamiliki gari
Mkuu mbona unafichaficha mambo? Tupia picha za ndani(interior) na mashine pamoja na mileage yake ili watu wasiwe na wasiwasi..
Umetumia busara ya kibiashara kuweka wazi juu ya gear box najua mwenye uhitaji atanunua tu