Car4Sale Nauza Toyota Ist mpya (chassis #, unregistered)

Ume-reply katika kitu usichokielewa,
Hapo kwenye neno "Mpya" ndio hapo hapo angemalizia "kwa Tanzania" iwe kama sentensi moja.
Sio "Mpya" ipo kwenye title, na "Never Used in Tanzania" iko ndani ya Uzi,
Inaonekana unapenda ligi watu woote wameelewa sema unaenda ubishi tu...
 
Inaonekana unapenda ligi watu woote wameelewa sema unaenda ubishi tu...
Kupenda Ligi vipi??
Hakuna gari Jipya hapo wewe, wacha kupotosha, unless labda neno JIPYA now days lina tafsiri mpya/ tofauti from BAKITA.
Neno Sahihi kwa kitu Kilichotumika nje ambacho kimekuja kuanza kutumika nchini kwa mara ya kwanza ni Mtumba.
Wewe kama unajihisi hupendi ligi basi kubaliana na ufafanuzi wangu huu.
 
Wote tunajua magari yetu 99.9% ni mtumba... akisema mpya anamaanisha haijatembea nchini au rahisi zaidi ni imetembea mabara ya watu huko.
Kwahio ikitokea kenya na hizo mileage ni mtumba ila kama ni UAE ni mpya!
 
Mleta mada unataka kuuza gari lako,usiwe mbishi,waambie mods warekebishe kichwa cha uzi wako... Motokaa mpya maana yake ni zero km... Na kama ni Zero Km huwezi ipapachua IST kwa bei hiyo...
 
Hilo gari maadam limeshatumika ni mtumba. Hamna haja ya kuzungusha maneno. Unaweza ukapata mwanamke mpya kwako lakini kama alushabikiriwa na mwanaume mwingine huwezi kusema umepata mwanamke bikira... used ni used to bila kujalisha imekuwa used na nani
 
Muone said mafua hapo au Kijana wngu Dege tua akupe hela hiyo fasta
 
Acha siasa kwenye biashara za watu hiyo ni gari second end lakin mnunuaji wa tz atakua first user atapata na usajiri mpya we una shilingi ngapi kama huna hela achana na huu uzi wanunuaji waje fuata yako mkuu hii ni biashara debate za kipuuzi ondoa
 
milion 5 itapendeza zaid. mil 9 haijawa registered hiyo bei hapana tena model ya 2002?
 
halafu unajichanganya. mara unasema mpya mara unasema imetembea kim 67,000 tushike lipi sasa? na kama ni mpya kwa bei hiyo mi naihitaji sana maana najua bei ya gari mpya ni balaah. wewe umeamua kuuza kwa bei kama vile ni used.
 
Acha siasa kwenye biashara za watu hiyo ni gari second end lakin mnunuaji wa tz atakua first user atapata na usajiri mpya we una shilingi ngapi kama huna hela achana na huu uzi wanunuaji waje fuata yako mkuu hii ni biashara debate za kipuuzi ondoa
Wewe Ndio Mpuuzi katika Wapuuzi,
Hakuna Siasa hapa, Either wewe ni Mbumbumbu huelewi au Umeamua kupotosha kuvutia Wateja wa huyo nduguyo,
Hujui hata kutofautisha Usajili Mpya na gari Mpya,
Gari hata ikitumika Zanzibar Miaka 10 ukaileta hapa Bara ukapewa namba Mpya, je utaiita ni Gari Mpya??
 
Ahsante Babu,
Watu hawamiliki hata baiskeli wanakuja kubishania kwenye Magari,
Gari ina KM 67,000 tayari unaiita "Mpya" kisa tu baada ya kuletwa Bongo ikapewa namba "Mpya", Ujinga huu.
 
Ahsante Babu,
Watu hawamiliki hata baiskeli wanakuja kubishania kwenye Magari,
Gari ina KM 67,000 tayari unaiita "Mpya" kisa tu baada ya kuletwa Bongo ikapewa namba "Mpya", Ujinga huu.
Asante mkuu gar eti imetoka Burundi na mikilomita kibao ikitua bongo tu eti mpya!
 
Ahsante Babu,
Watu hawamiliki hata baiskeli wanakuja kubishania kwenye Magari,
Gari ina KM 67,000 tayari unaiita "Mpya" kisa tu baada ya kuletwa Bongo ikapewa namba "Mpya", Ujinga huu.
Mkuu ligi ya nn?? Mbona jambo dogo sana hilo, mazoea yetu tu wabongo, gari ya showroom uwa tunaiona mpya, ambayo ukiinunua uwa unakua 1st owner, ila reality zinakua siyo mpya, gari mpya watz wachache ndio wenye uwezo wa kununua, example Government, kina Sabodo, Manji, yule muhindi wa Africarries pale vingungut jina limenitoka, etc
 
Mkuu mashindano ya nn? Mpaka unatukana watu? Lengo la kuanzisha hii thread ni kuuza gari yangu kwa mtu atakayekua interested, over
 
Acha siasa kwenye biashara za watu hiyo ni gari second end lakin mnunuaji wa tz atakua first user atapata na usajiri mpya we una shilingi ngapi kama huna hela achana na huu uzi wanunuaji waje fuata yako mkuu hii ni biashara debate za kipuuzi ondoa
Mkuu hata mm nashangaa uzi wangu umegeuka debate wakat mm natangaza biashara yangu, yaaaani wabongo sisi wajuaji wajuaji sana
Mtu kama gari haikufai/hautaji pita hivi
 
Mkuu mashindano ya nn? Mpaka unatukana watu? Lengo la kuanzisha hii thread ni kuuza gari yangu kwa mtu atakayekua interested, over
We kama unauza Gari, Uza.
Umeona comment nilioi-reply alichokiandika mpaka unasema Natukana??
Au sababu anaku- support uongo wako wa kwamba Gari ni Mpya ndio maana yeye niliemjibu unaona yuko innocent hajatukana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…