Mkuu ligi ya nn?? Mbona jambo dogo sana hilo, mazoea yetu tu wabongo, gari ya showroom uwa tunaiona mpya, ambayo ukiinunua uwa unakua 1st owner, ila reality zinakua siyo mpya, gari mpya watz wachache ndio wenye uwezo wa kununua, example Government, kina Sabodo, Manji, yule muhindi wa Africarries pale vingungut jina limenitoka, etc