Hahahaha,mteja na muuzaji wanarusha ngumi.
Yangu macho
Muuzaji acha jazba,hulaumiwi kwakuw ani mpya of 2 posts.
Lakini humu kuna majibu ya ajabu kweli kuwa mvumilivu.
Namie langu hili,hii picha ni ya Japan au umepiga hapa,maana naona befoward anabeep kwa chabo