Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
hiyo bei mkuu hatari
Habari Wadau Nina Toyota raum new model kwa bei nzuri nipo Arusha kwa anayehitaji anicheki kupitia namba 0718146734 kupata picha au tembelea Facebook page yetu ya Arusha automobiles.
Year: 2003
Engine: Vvti
Cc 1496
Odometer: 64559 km
V4
kw hiyo bei kwa gari hiyo lazima uweke rim na sports tyre nene,mziki mkubwa wenye dvd flat screen booster na spika atleast ya watts 2000, usb, fridge ndogo na iwe rangi nyeusi kama haina hivyo vitu sahau kuuza akitokea mtu mwenye m6 -8 usirembe chukua na utambae
New model?
Ni new model kama unahitaji picha nicheki kupitia watsap