Pole sana mamab Debora. Ila hata kwa ndani unafungua mbona?Gari zuri, tatizo moja tu.
Milango ya siti za abiria akitaka kushuka mpaka dereva ushuke ukamfungulie kwa nje.
Dizain kama milango ya Noah. Siipendagi kama nini.
Msalimie Debora. Usimsalimie babaake, staki kukuletea matatizo
Mambo.Mmmh... Bado amelala mwanangu.
Lakin kaka, mbona nakumbuka Boyfriend wangu (alonitoaga bikra) alikuaga na kagari kama haka. Akasema gari zenye milango ya hivo, abiria wa nyuma hawezi kutoka mpaka mtu afungue kwa nje.
Alikudanganya ili asikuhonge aendelee kuku denyua
Ina automatic doorGari zuri, tatizo moja tu.
Milango ya siti za abiria akitaka kushuka mpaka dereva ushuke ukamfungulie kwa nje.
Dizain kama milango ya Noah. Siipendagi kama nini.
Maana yake nini, kwamba mlango wa nyuma unajifungua automatic, bila kugusa kitu???
Du na huku upo unachafua biashara za watu.Gari zuri, tatizo moja tu.
Milango ya siti za abiria akitaka kushuka mpaka dereva ushuke ukamfungulie kwa nje.
Dizain kama milango ya Noah. Siipendagi kama nini.
Si kweli,Mmmh... Bado amelala mwanangu.